Kibao kikionyesha jina jipya la Humburg Avenue, badala ya Garden Avenue, muda mfupi baada ya kuzinduliwa
|
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi akizungumza katika hafla hiyo
|
Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kachanke akizungumza wakati wa hafla hiyo
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbele ya kibao kinachoonyesha, jina jipya la Barabara ya Garden Avenue la Humburg Avenue
|
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi (katikati) akicheza ngoma
|
Msanii wa kundi la Majozi Theater, Neema Maganga akitumbuiza wakati wa hafla ya kuzindua jipya la Barabara ya Garden Avenue na kuwa Humburg Avenue |
No comments:
Post a Comment