MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, October 12, 2014

TAIFA STARS ILIVYOICHAMBUA BENINN 4- 1

 Kipa wa Beninn,Farnoue Fabian, akijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Nadir Haroub na kusababisha goli la kwanza
 Kipa wa Beninn,Farnoue Fabian, akijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Thomas Ulimwengu na kusababisha goli la tatu
  Kipa wa Beninn,Farnoue Fabian, akijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Nadir Haroub na kusababisha goli la kwanza
 Nadir Haroub, akishangilia goli la kwanza
 Kipa wa Beninn,Farnoue Fabian, akijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Thomas Ulimwengu na kusababisha goli la tatu
 Mchezaji wa Taifa Stars, Juma Luizo akiipatia Taifa Stars goli la nne.
Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars, anayechezea timu ya Zesco ya Zambia, Juma Luizo akiipatia Stars goli la nne wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Beninn uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Stars ilishinda 4-1

No comments:

Post a Comment