| Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya, akizunumza na wahitimu wa Kidato cha nne katika mahafali ya tano ya Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete Kijitonyama jijini Dar es Salaam juzi. Kulia ni Mhariri wa Habari wa Gazeti la Mtanzania, Bakari Kimwanga na Mwenyekiti wa walimu wa maarifa ya Uislamu Dar es Salaam, Suleiman Gombe |
No comments:
Post a Comment