Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile
ambaye ni kiongozi wa ujumbe kutoka
Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na
Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno
Ndulu ambaye pia ni Gavana katika
mikutano hii. Katika picha viongozi hao
wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya
kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana
ya sera za fedha na sera za mapato na matumizi
Herve’
Joly ambaye ni Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya
Mashariki akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu
wa serikali Dr.
Servacius Likwelile hayupo katika picha, alipokuwa akitoa msimamo wake kuhusu
sera zinazopendekewa na IMF na WB.
No comments:
Post a Comment