Wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika maadhimisho ya Mei Mosi kimkoa yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
wafanyakazi wa Kiwanda cha Konyagi wakiwa kwenye maandamano
Baadhi ya wafanyakazi kutoka Sekta mbalimbali wakiimba wimbo wa mshikamano
Askari wa Jeshi la Magereza wakiongoza maandamano wakati wa sherehe za mei mosi kwenye Uwanja wa uhuru, Dar es Salaam
wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakiwa kwenye maandamano ya Mei Mosi
wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Precsion Air wakiwa katika maandamano
wafanyakazi wa Shirika la TANESCO wakiwa katika maandamano
Wafanyakazi wa SSRA wakiwa katika maandamano
wafanyakazi wa Mamlaka ya Chakula la Dawa (TFDA) wakiwa kwenye maandamano ya Mei Mosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment