Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia, January Makamba akisalimiana na wananchi na wananchama wa CCM mkoa wa Manyara waliojitokeza katika viwanja vya ofisi za CCM mkoa wa Manyara kumuunga mkono katika harakati zake za kusaka wadhamini mkoani hapo.
Makamba akisalimiana na wananchi na wananchama wa CCM mkoa wa Manyara waliojitokeza katika viwanja vya ofisi za CCM mkoa wa Manyara kumuunga mkono katika harakati zake za kusaka wadhamini mkoani hapo. January amejizolea wadhamini 600 kutoka mkoa huo.
Mbunge wa Bumbuli na Naibu
waziri wa mawasilano, sayansi na Teknolojia, January Makamba akimnyanyua juu
mtoto kwa furaha aliyekuja kumsikiliza katika viwanja vya ofisi za CCM mkoa wa
Mayara wakati alipowasili mkoani hapo kwa ajili kuomba udhamini wa wanachama
kumuwezesha kuteuliwa na chama kugombea nafasi ya urais.
Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia, January Makamba akiteta jambo na Katibu wa CCM mkoa wa Manyara, Mzee Ndekubale walipokuwa katika mkutano na wananchi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Manyara.
Mbunge wa Bumbuli na Naibu waziri wa Mawasilano, sayansi na Teknolojia, January Makamba akifurahia jambo kutoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Babati Mjini (kushoto) wakati wa mkutano na wanachama wa CCM mkoa wa Manyara.
.
Makamba akiwa na Mkewe Ramona, mkoani Manyara
January Makamba akihutubia
wananchi na wanachama wa CCM mkoani Manyara waliojitokeza katika Viwanja vya
CCM mkoani hapo . January yupo katika ziara yake ya kutafuta wadhamini ndani ya
chama ambao watamuwezesha kuteuliwa kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kupitia
tiketi ya CCM. Ambapo mkoani Manyara amepata wadhamini 630.
Mbunge wa Bumbuli na Naibu waziri wa mawasilano, sayansi na
teknolojia, January Makamba akiagana na wananchi pamoja na wanachama wa
CCM mkoa wa Manyara baada ya kumaliza kuzungumza nao na kupata wadhamini
630 mkoani humo
No comments:
Post a Comment