Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia,
January Makamba akivishwa skafu na vijana chipukizi wa CCM wilaya ya Misenyi
mara baada ya kuwasili wilayani hapo. Januari, jana alizungumza na wanachama na
wananchi wa CCM wilaya ya Misenyi katika harakati ya kutafuta wadhamini wa
ndani ya chama kwa ajili ya kupewa ridhaa na chama hicho kugombea nafasi ya
urais kwa tiketi ya CCM ambapo amepata wadhamini zaidi ya 8000.
Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia, January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakisalimiana na wanchama wa CCM wilayani Misenyi moani Kagera mara baada ya kuwasili wilayani hapo.
Mh anuary Makamba akihutubia wananchi na wanachama wa CCM Wilaya
ya Misenyi mkoani Kagera waliojitokeza katika Viwanja vya CCM Wilayani hapo .
January yupo katika ziara yake ya kusaka wadhamini ndani ya chama ambao
watamuwezesha kuteuliwa kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kupitia tiketi ya
CCM. Ambapo mkoani Sinyanga amejizolea wadhamini 8024 mkoa wa Kagera.
Mke wa january Makamba, Ramona Makamba akisalimia wananchi na
wanachama wa CCM wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera wakati Mh january alipofika
wilayni hapo kwa ajili kusaka ya kuomba udhamini kutoka kwa wanachama hao
utakaomuwezesha kupata ridhaa ya chama kugombea nafasi ya urais wa Tanzania
ambapo amejizolea wadhamini zaidi ya 8000.
No comments:
Post a Comment