Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na
teknolojia, January Makamba Akimjulia hali mtoto akiwa na mamayake walielazwa
katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera pindi alipotembelea wodi ya watoto wenye
matatizo mbalimbali hospitalini hapo.
Mke wa Mbunge wa Bumbuli, Ramona Makamba akiteta jambo na mtoto
aliyelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Kagera mara walipotembelea hospitali
hiyo kuona wagonjwa.
Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na
teknolojia, January Makamba akisalimiana nawanachama na wananchi wa Bukoba
mjini mara baada ya kuwasili mjini hapo. January Makamba yupo katika ziara nchi
nzima katika kusaka wadhamini ndani ya chama watakaomuwezesha kuteuliwa
kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.
No comments:
Post a Comment