Mbunge wa Bumbuli na naibu
waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia, January Makamba akisalimiana na
walimavu walijitokeza katika ofisi ya CCM wilaya ya Nyamagana
Mh anuary Makamba
akisalimia wananchi na wanachama wa CCM mkoa wa Mwanza nje ya Ofisi ya Chama
hicho wilayaya Nyamagana
Mh anuary Makamba
akihutubia wananchi na wanachama wa CCM mkoa wa Mwanza waliojitokeza katika
Ukumbi wa CCM Wilaya wa Nyamagana. January yupo katika ziara yake ya kusaka
wadhamini ndani ya chama ambao watamuwezesha kuteuliwa kuwania nafasi ya urais
wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM. Ambapo mkoani mwanza amejizolea wadhamini
Mke wa mh January Makamba, Ramona Makamba akisalimia wananchi na wanachama wa CCM mkoa wa Mwanza waliojitokeza katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Nyamagana.
mh January Makamba akisalimia wananchi na wanachama wa CCM mkoa wa Mwanza waliojitokeza katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Nyamagana.
Mh January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakionesha fomu iliyojazwa na wadhamini kwa kumdhamini kupata ridhaa ya chama cha mapinduzi kuwa mgombea wa nafasi ya urais mwaka 2015.
Mh. January Makama na
mkewe, Ramona Makamba wakitembea pamoja na wananchi na wanachama wa CCM mkoa wa
Mwanza kuelekea katika Ofisi za chama hicho wilaya ya Nyamaga.
Mh. January Makama na mkewe, Ramona Makamba kwa pamoja wakiweka sahihi kwenye vitabu vya wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.
Mbunge wa Bumbuli, January Makama na mkewe, Ramona Makamba wakitembea pamoja na wananchi na wanachama wa CCM mkoa wa Mwanza kuelekea katika Ofisi za chama hicho wilaya ya Nyamaga. waliojitokeza kumdhamini ili aweze kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho. Picha na Mpigapicha Wetu
Mmoja wa wanachama wa CCM mkoa wa Mwanza akifurahia jambo na January makamba mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza kwa ajili kupata wadhamini watakaomuwezesha kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais kupitia tiketi ya CCM.
No comments:
Post a Comment