Mwanasheria mwandamizi wa
TADB, Bibi Salome Masenga (Kulia) akimuelekeza mmoja wa wanakikundi waliopata
mikopo kutoka Benki hiyo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),
Rosebud Kurwijila(Aliyesimama) akiwapungia wakulima waliojitokeza wakati wa
hafla ya utiaji saini makubaliano ya mikopo kati ya TADB na wakulima wadogo
wadogo wa mkoa wa Iringa, katika kijiji cha Igomaa, wilayani Mufindi mkoani
Iringa
Wajumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),wakiwapungia
wakulima waliojitokeza wakati wa hafla ya utiaji saini makubaliano ya mikopo
kati ya TADB na wakulima wadogo wadogo wa mkoa wa Iringa, katika kijiji cha
Igomaa, wilayani Mufindi mkoani Iringa
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),Bibi
Rosebud Kurwijila (Kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Bibi Amina Masenza
(Kulia) wakifuatilia kwa makini matukio wakati wa hafla ya utiaji saini
makubaliano ya mikopo kati ya TADB na wakulima wadogo wadogo wa mkoa wa Iringa,
katika kijiji cha Igomaa, wilayani Mufindi mkoani Iringa
Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi
(Kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Bw. Jowika Kasunga (Kulia
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa, Bibi Amina Masenza (Aliyevaa kilemba) akiwa katika picha ya
pamoja na uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania na Bodi ya
Wakurugenzi wa Benki hiyo
No comments:
Post a Comment