KITUO CHA UCHANGIAJI DAMU KUZINDULIWA HOSPITALI AMANA
Meneja wa maabara ya Hospitali ya Amana, Jabir Muhsin
akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam kuhusiana na uzinduzi wa
kituo cha uchangiaji damu hospitalini
hapo. Kulia ni Mtaalam wa maabara, Ndonya Hussein
No comments:
Post a Comment