Maandamano yakiingia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee
Wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Aga Khan, Dar es Salaam wa Shahada ya Sayansi
ya Uuguzi, Stashahada ya Dawa na Stashahada ya Elimu wakiwa kwenye Mhafali
yaliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond Jubi lee
No comments:
Post a Comment