Moja ya barabara Kuu ya Bibi Titi Mohamed iliyopo katika ya jiji la Dar es Salaam ikionekana katika mazingira ya kupendeza na kuvutia, kwa ushirikiano kati ya viongozi na wananchi mazingira kuwa kama haya inawezekana kote nchini ili mradi kila mtu ajitambue anapofanya jambo hasa la usafi, ikiwa ni pamoja na kutotupa takataka hovyo
No comments:
Post a Comment