Baadhi ya watu na makundi mbalimbali walioshiriki katika harakati za uchaguzi wakiwa Ikulu, Dar es Salaam walipokutana na Rais John Magufuli
Rais
John Magufuli katika picha ya pamoja na
kundi la sanaa la Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi
yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita
kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam
Baadhi ya wasanii wakifurahi wakati Rais, John Magufulia akizungumza nao Ikulu
Rais John Magufuli akizungumza
No comments:
Post a Comment