Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, akikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 75 kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu kwa ajili ya Mkutano wa kikazi wa maofisa Jeshi hilo unaofanyika, Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga
No comments:
Post a Comment