MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, February 19, 2016

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA WABUNGE WA SWEDEN

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwa na kiongozi wa msafara wa wabunge kutoka Sweden, Keneth Forslund walipofanya mazungumzo Dar es Salaam
 Spika wa Bunge, Job Ndugai  akizungumza na kiongozi wa msafara wa wabunge kutoka Sweden, Keneth Forslund. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt
 Baadhi ya wabunge kutoka Sweden
Spika wa Bunge, Job Ndugai (mbele) akizungumza wakati alipokutana na wabunge kutoka Sweden

No comments:

Post a Comment