Afisa huduma kwa wateja wa Airtel ,
Juma Hassan akitoa maelezo ya jinsi ya kupata huduma mbalimbali za kisasa kwa
timu ya taifa ya wanawake ya Twiga Stars walipotembelea duka la kisasa la
Airtel Expo liliko Morocco jijini Dar es Salaam
Wachezaji wa timu ya taifa ya
wanawake ya Twiga Stars wakimfatilia kwa makini Afisa Afisa wa huduma kwa
wateja wa Airtel Bw Stephen Makongoro wakati alipokuwa akitoa maelezo ya
huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.
Twiga Stars ilitembelea duka jipya la Airtel Expo lililopo jijini Dar es salaam
Baadhi Wachezaji wa timu ya taifa ya
wanawake ya Twiga Stars wakitumia vifaa mbalimbali pamoja na simu za kisasa
zilizopo katika duka la Airtel Expo wakati timu hiyo ilipotembelea duka hilio
Jana, akishuhudia ni Afisa huduma kwa wateja wa Airtel , Boaz
Kikosi kizima cha timu ya taifa ya
wanawake ya Twiga Stars pamoja na uongozi wa timu hiyo na baadhi ya wafanyakazi
wa Airtel wakiwa katika picha ya pamoja wakati timu hiyo ilipotembelea duka la
kisasa la Airtel Expo lililopo Morocco jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa
wateja Bi Adriana Lyamba akimkabithi Meneja wa Timu ya Twiga Stars ,
Furaha Francis Modem aina ya Airtel wingle inayounganisha watumiaji zaidi ya 10
na huduma ya Wifi itakayosaidia kikosi hicho kuunganishwa na huduma za intaneti
wakati wote. Modemu hiyo ilikabidhiwa wakati Airtel ilipotembelea duka la
kisasa la Airtel Expo lililopo Morocco Jijini Dar es Saalam
Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane
Matinde (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa wateja
Adriana Lyamba (nyuma) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa
Twiga Stars ambao wametokana na matunda ya mpango wa kuinua soka la vijana chini
ya miaka 17 wa Airtel Rising Stars.
Baadhi Wachezaji wa timu ya taifa ya
wanawake ya Twiga Stars wakitumia simu zilizopo ndani ya duka la Airtel Expo
kupiga selfie na kuona ubora wa simu hizo wakati walipotembelea duka la kisasa
la Airtel Expo liliko Morocco jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa
wateja Bi Adriana Lyamba akimkabithi simu mmoja ya wachezaji wa timu ya
wanawake ya Twiga Stars , Maimuna Hamisi mara baada ya kujibu maswali juu ya
huduma na bidhaa za Airtel kwa ufasaha
No comments:
Post a Comment