Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAG, Imani Kajula (katikati) akiwa miongoni mwa wakimbiaji wa mbio za Kilomita 21 za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro
Mkazi wa Arusha mwenye umri wa miaka 71, Joram Mollel akiwa amemaliza kukimbia Kilomita 21 za mbio za Kilimanjaro Marathon
No comments:
Post a Comment