Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Sheria na Katiba, Amon Mpanju akilishwa keki na mkewe ,
Analises katika tafrija ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Jeshi
Lugalo jijini Dar es salaam jumamosi na iliyohudhuliwa na Waziri Mkuu na Kassim Majaliwa na mkewe Mary Picha na Ofisiya
Waziri Mkuu
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Sheria na Katiba, Amon Mpanju akimlisha keki mkewe ,
Analises katika tafrija ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Jeshi
Lugalo jijini Dar es salaam jumamosi na iliyohudhuliwa na Waziri Mkuu na Kassim Majaliwa na mkewe Mary Picha na Ofisiya
Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment