Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga
Kikosi cha kwanza kilichoanza wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga
Mmoja wa wamiliki wa timu ya Mtibwa Sugar, Jamal (katikati) akifuatilia wachezaji wa timu hiyo wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wa kirafi kuanza dhidi ya Yanga
Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakipasha kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga
Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakisalimiana na wachezaji wa Yanga wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Wachezaji wa Mtibwa wakipasha kabla ya mchezo kuanza
No comments:
Post a Comment