Jamaa, ndugu na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Joseph Senga aliyekuwa mpigapicha mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na kampuni ya Free Media
Mpigapicha wa kampuni ya New Habari na aliyewahi kufanya kazi na marehemu Joseph Senga enzi za Gazeti la Mfanyakazi, Deus Mhagale akimuaga rafiki yake, nyuma ni mr Juma Dihule mmoja wa wapigapicha wakongwe katika tasnia ya habari
Mmoja wa waendeshaji wa Globu ya Jamii ya Michuzi Midea Group, Ahmed Michuzi akitoa heshima za mwisho
Wapigapicha wa habari wakiwa wamebeba Jeneza tayari kwa kupakia kwenye gari ili kuanza safari ya mkoani Mwanza
Baadhi ya wapigapicha wakitafakari, jinsi walivyokuwa wakifanyakazi na marehemu Joseph Senga
No comments:
Post a Comment