Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson akiwaongoza Viongozi mbalimbali wakiwemo Wabunge, Mawaziri na baadhi ya Wakuu wa Mikoa kushiriki katika Mbio za marathon (Dkt Tulia Charity). Mbio hizo ambazo zililenga kuwasaidia watoto Yatima na Wagonjwa wa UKIMWI zilianzia Ofisi za Bunge hadi Nyerere Square Mjini Dodoma.

Naibu Spika wa BungeDkt Tulia Ackson akitoa msaada wa Vyakula mbalimbali kwa watoto Yatima wa kituo cha Kijiji cha matumaini kilichopo kisasa mkoani Dodoma mara baada ya kushiriki Mbio za marathon (Dkt Tulia Charity) kwa ajili ya kuwasaidia watoto hao (Picha na Ofisi ya Bunge) .
Naibu Spika wa BungeDkt Tulia Ackson akitoa msaada wa
Vyakula mbalimbali kwa watoto Yatima wa kituo cha Kijiji cha matumaini
kilichopo kisasa mkoani Dodoma mara baada ya kushiriki Mbio za marathon (Dkt
Tulia Charity) kwa ajili ya kuwasaidia watoto hao (Picha na Ofisi ya Bunge) .
No comments:
Post a Comment