MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, December 5, 2016

BLOGGER WAFANYA MKUTANO WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo akitoa mada kwa bloggers wakati wa Mkutano wa mafunzo kwa bloggers ulioanza leo jijini Dar es Salaam
 Bloggers wakifuatilia mada kutoka Mkurugenzi wa Jamii Media Maxence Melo
 Mkurugenzi wa Idara Habari MAELEZO Hassan Abass akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo
Bloggers na mgeni Rasmi wa mkutano huo Mkurugenzi wa Idara Habari MAELEZO, Hassan Abass wakiwa kwenye picha ya pamoja

 Bloggers wakifuatilia mada kutoka Mkurugenzi wa Jamii Media Maxence Melo
 Bloggers wakifuatilia mada kutoka Mkurugenzi wa Jamii Media Maxence Melo

No comments:

Post a Comment