Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano
na Mazingira) January Makamba (katikati) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa
habari wakati akitoa taarifa ya
operesheni maalum ya kutokomeza pombe kali aina ya viroba mapema hii leo jijini
Dar es Salaam. kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu
wa Rais Richard Mayungi na kushoto ni Kaimu Kamishna wa Polisi Lucas
Mkondya
Baadhiya
Maofisa wa Serikali na Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba wakati
akitoa taarifa ya operesheni maalum ya kutokomeza pombe kali aina ya viroba leo jijini Dar es Salaam.Picha
zote na Eliphace Marwa - Maelezo
No comments:
Post a Comment