View the slide show
MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail: antonysiame74@yahoo.com
Sunday, March 19, 2017
MASHINDANO YA GOF YALIYODHAMINIWA NA KAMPUNI YA BIMA YA BRITAM TANZANIA YALIVYOFANA
Veterani, Adamu Ngamilo aliibuka mshindi wa jumla wamashindano ya Gofu yaliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya Britam yaliyofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam kwa kuwashinda washiriki 100 walioshiriki katika mashindano hayo.
Akizungumuza baada ya kutoa zawadi Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Britam Tanzania
Steven Lokonyo
alisema kampuni yake itaendelea kudhamini mashindano hayo kila mwaka
Steven Lokonyo
aliendelea kusema kwamba pia kampuni hiyo ambayo ipo katika nchi ya Malawi, Uganda, Kenya na Mozambique pia inajishughulisha na udhamini katika michezo akitolea mfano udhamini wa timu ya soko ya Matathare united ya nchini Kenya inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo
Adamu Ngamilo
akikabidhiwa zawadi na
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Britam Tanzania
Steven Lokonyo
Mshindi wa jumla
Adamu Ngamilo
Baadhi ya washiri walioshiriki katika mashindano ya Gofu yaliyodhaminiwa na Kakampuni ya Bima ya Britam Tanzania kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment