Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya EFC, Bas Nierop akizungumza wakati wa
uzinduzi wa huduma mpya ya mtandao kwa wateja wa benki hiyo, jijini, Dar es
Salaam jana. Wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa kitengo cha mikopo, Robert
Pascal, Mkurugenzi Uendeshaji, Hawa Mgode na Meneja Masoko, Waheeda Mohamed
Baadhi ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria katika uzinduzi
Baadhi ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria katika uzinduziMkurugenzi wa kitengo cha mikopo, Robert Pascal akiwaeleza wateja wa benki hiyo jinsi huduma zikavyoendeshwa kwa ufanisi
No comments:
Post a Comment