Bwawa la kuogelea la Gymkana Club (Swimming Pool) lililozinduliwa ijumaa iliyopita lililopo katika viwanja vya Gymkana jijini Dar es Salaam
Bwawa la kisasa la Gymkana lililozinduliwa ijumaa ya wiki iliyopita
Masanii Barnabas na wasanii kutoka THT wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Bwawa la kuogelea la Gymkana Dar es Salaam (Swiming Pool)
Kutoka Kushoto ni Mwenyekiti wa Gymkana, Dar es Salaam Walter Chipeta, mmoja wa wananchacha wa klabu hiyo, Nape Nnauye na Makamu Mwenyekiti, Fina Mango wakipiga makofi baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Swimming Poool ya Gymkana
Mwenyekiti wa Gymkana, Dar es Salaam Walter Chipeta na wanachama wengine wakiwa kwenye uzindu huo
Baadhi ya wanachama wa Gymkana wakifuatilia uzinduzi huo
Msanii Ditto akiwaburudisha wananchama wa klab hiyo wakati wa uzinduzi wa Swimming Pool
Mbunge wa Mtama na mmoja wa wanachama wa Gymkana, Nape Nnauye akiimba pamoja na wasanii
Wanachama wa Gymkana wakicheza
Wakifuatilia uzinduzi wa Swimming Pool Gymkana Dar es Salaam
Mmoja wa wanachama wa Gymkana Dar es Salaam akizindua rasmi kuwa wa kwanza kuogelea
No comments:
Post a Comment