Mashabiki wa timu ya Dar yaoung African ya jijini Dar es Salaam, wamesikiliza bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedah 2017/18 inayosomwa bungeni na waziri wa Fedha Dk Philip Mpango kwa masikitiko baada timu yao kuondoa ndoto za kucheza na timu ya Eveton baada ya kutolewa kwenye michuano ya Sport Pesa kwenye Uwanja wa Uhuru dhidi ya AFC Leopard ya Kenya kwa mikawaju ya Penalt
No comments:
Post a Comment