Naibu Waziri
wa Ajira Kazi Anthony Mavunde, akimkabidhi Kikombe cha SportPes Super Cup,
Nahodha wa Gor Mahia ya Kenya baada ya
kuibuka washindi kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru,
Dar es Salaam dhidi ya AFC Leopards na kuibuka na ushindi 3-0. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
Wachezaji wa Gormahia na AFC Leopard wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Fainali
No comments:
Post a Comment