Spika wa Bunge, Job Ndugai
akisalimiana na Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania, Dk Inmi
Patterson, pale alipomtembelea ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akipokea zawadi ya
saa kutoka kwa Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania, Dk Inmi Patterson, pale alipomtembelea
ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akizungumza jambo pale alipotembelewa na Mabalozi
wanaowakilisha nchi zao hapa nchini Tanzania, wakiongozwa na Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke(kulia
kwake) katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto)akizungumza
na Balozi kutoka Norway, Hanne Kaarstad
(katikati) na Balozi kutoka Finland, Pekka Hukka (kulia) katika kikao
kilichofanyika ofisini kwake Mjini
Dodoma
No comments:
Post a Comment