Kaimu Mkurungenzi
wa wateja wakubwa wa benki ya NMB, Michael Mungure akipokea kikombe na cheti
kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Vijana na watu wenye
ulemavu, Jenista Mhagama ikiwa ni kutambua mchango wa benki hiyo kwenye
kongamano la Kitaifa la Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC)
lililofanyika mjini Dodoma mwisho wa wiki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Ajira,Vijana na Watu wenye ulemavu Jenista Mhagama akimkabidhi
cheti Meneja wa benki ya NMB Kanda ya
Kati Straton Chilomgola ikiwa ni kutambua ufadhili wa benki hiyo kwenye
kongamano la Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) lililofanyika
mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment