Sehemu
ya wageni waalikwa waliohudhuria wakati
wa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili
ya wateja wake benki hiyo kwenye mfungo Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sehemu
ya wageni waalikwa waliohudhuria wakati
wa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili
ya wateja wake benki hiyo kwenye mfungo Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkuu
wa Mkoa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud akimshukuru Kaimu
Mkurugenzi wa Benki ya NMB,Abdulmajid
Nsekela baada ya kupokea zawadi maalumu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wake walio
kwenye mfungo Mtukufu
wa Ramadhani Unguja.
No comments:
Post a Comment