Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo, Juliana Shonza (katikati) akiwa
katika mazoezi ya jogging na kikundi cha
Kawe Jogging Social Club katika sherehe za miaka mitano ya kikundi hicho zilizofanyika jijini Dar es Salaam (aliyenyoosha kidole kushoto) ni Katibu wa Kawe Jogging Social
Club, Alhaj Seif Muhere
Naibu
Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akifanya mazoezi ya viungo na
wanachama wa vikundi mbalimbali vya jogging mkoani Dar es Salaam katika sherehe
za miaka mitano ya kikundi cha Kawe Jogging Social Club leo,(kushoto) Katibu wa Kawe Jogging Social
Naibu Waziri wa
Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezom Juliana Shonza akizungumza na wanachama wa vikundi mbalimbali vya jogging Mkoani Dar
es Salaam katika sherehe za maadhimisho ya miaka mitano ya kikundi cha Kawe
Jogging Social Club zilizofanyika jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment