
mita 10,000m kuzunguka Uwanja wa Taifa mara 25



pamoja na ulemavu wa mkono aliweza kumaliza mbio za mita 10,000

Michael Joseph (Kulia) na Anold Luning'o (kushoto) wakichuana katika mbio za Mita 10,000 na Michael Joseph aliweza kushionda mbio hizo kwa kutumia muda wa dk 29.34.46

Hiyo ni Longjump

ukimaliza mbio lazima upatiwe msaada wa maana waweza kuanguka

Mwanadada kutoka Uganda akifanya mazoezi kabla ya kuanza kwa mmbio za kupokezana vijiti Relay ya mita 100x4

Wakimbiaji wa Relay wa mita 100x4 kwa upande wa akina dada kutoka nchini Uganda wakipasha misuli

Akina dada kutoka nchinim Kenya wakiwa tayari kwa kutumia mbio za Relay


Hawa wachina wakishudia mbio hizo

Mbio za Mita 10,000


mbio za mita 100x4 kwa upande wa akina dada
No comments:
Post a Comment