Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya China Railway Construction Engneering Group, Shi Yuan wa pili kutoka (kulia),wakisaini mkataba wa Ujenzi Ujenzi wa Daraja la Kigamboni lenye urefu wa mita 600 utakaogharimu zaidi ya Sh Bilion 200. Halfa hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame.
Baaadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya kusaini ujenzi wa jengo la Kigamboni
Waziri wa Ujenzi John Magufuli wa nne kutoka kulia wakisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Daraja la Kigamboni litakalojengwa na Kampuni kutoka China ya Railway Construction Engneering Group
Mchoro wa Daraja wa Kigambo unaotarajia kuanza hivi karibun
No comments:
Post a Comment