Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto, Ummy Mwalimu (kulia), Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa wakicheza mziki wa Kwaito wakati wa uwekaji jiwe la Msingi katika Jengo la kituo cha kutunzia Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa uliofanyika mkoani humo
No comments:
Post a Comment