MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, March 19, 2012

Sherehe za uzinduzi wa Jimbo la Kanisa la Katoliki Ifakara mkoani Morogoro



 
Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa akisalimiana na Muadhama Polycarp Kardinali Pengo mara baada ya kumalizika kwa Sherehe ya Kuzindua Jimbo Jipya la Kanisa Katoliki Ifakara na kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo hilo iliyofanyika leo Ifakara,Mkoani Morogoro.
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akimpongeza aliyekuwa  Waziri Mkuu ,Edward Lowassa muda mfupi baada ya misa hiyo
 Kutoka kulia ni Mbunge wa Ifakara, Abdul Mteketa, Mke wa aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa Mama Regina Lowassa, Edward Lowassa, Mama Siti Mwinyi Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera wakiwa katika Sherehe hizo pamoja na baadhi ya wageni waalikwa

No comments:

Post a Comment