MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, March 25, 2012

Simba ilivyowachinja waarabu wa Algelia 2-0 Taifa


 Mashabiki wa Simba wakionyesha ishara ya kuwachinja waarabu wakati mchezo Shirikisho dhidi ya timu ya Es Setif
 Jezi ya Okwi ikionyeshwa na Mashabiki wa Simba baada ya mchezo kumalizika
 Huyu ndiye Mnyama hakuna mwingine kama huyu ndivyo Shabiki huyu wa Simba alikuwa akitoa maneno baada ya mchezo kumalizika
Wachezaji wakichuana kuwania mpira

 
Rais  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za Mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani 


 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza na Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakiwa mazikoni


 

 Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile, wakati wa mazishi yaliyofanyika mkoani Kibaha Picha ya Ndege.

No comments:

Post a Comment