MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 22, 2012

Makamu wa Rais Dk .Mohamed Gharib Bilali ashiriki mazishi ya Marehemu mwakanjuki


 Makamu wa Rais  Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka mchanga katika kaburi la Brigedia General Mstaafu, mwakajuki, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja
. Picha na Muhidin Sufiani-OMR






Watoto wa marehemu, wakiweka mchanga.





Mke wa Marehemu Brigedia General mstaafu, Adam Mwakanjuki, Ikupa Mwakanjuki, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mmewe, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja .

No comments:

Post a Comment