Bwana Harusi William na mkewake Agnes wakiwa katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la mtakatifu Dominiki lililopo mbezi beach jijini Dar es Salaam,
Bibi harusi Agnes Martin akiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa na William Anthony
Bwana Harusi William na mkewake Agnes wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu na jamaa baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la mtakatifu Dominiki lililopo mbezi beach jijini Dar es Salaam
HATIMAYE SEIF NA HAMAD WAKUTANA
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Hamadi ambaye pia ni
Katibu Mkuu wa Cuf ,akisalimiana na hasimu wake ambaye ni Mbunge wa jimbo la Wawi, Hamadi Rashid Mohamed walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa Kamati ya kuratibu maoni ya Katiba mpya
No comments:
Post a Comment