Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Ramadhan Abdalla Shaaban,kuwa Waziri wa Ardhi.Makaazi,Maji na Nishati,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kabla Shaaban,alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha ,Ali Juma Shamuhuna,kuwa Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali, katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
,kabla ya hapo Shamuhuna,alikuwa Waziri wa Ardhi,Makaazi Maji na Nishati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha ,Abdilah Jihad Hassan, kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ikulu Mjini Zanzibar ,kabla Jihad alikuwa Waziri
wa Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha, Sheha Mohamed Sheha,kuwa Mshauri wa Rais-Pemba,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Picha ya pamoja na Mawaziri aliowaapisha waliosimama, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar, wengine Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif ,(kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, (kulia)
No comments:
Post a Comment