wafanyakazi wa Shirika hilo wakishusha zawadi hizo kwa ajili ya watoto hao
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa na watoto
Mkurugenzi Mratibu wa Shirika la Fast Light Trust, Bona Felix Mush akizungumza
wafanyakazi wa Fast Light Trust wakipanda mti kama kumbukumbu
Mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la Fast Light Trust akiwa na baadhi ya watoto wa Kituo cha chakuwama\
JK ATANGAZA MAJINA YA WAJUMBE WA TUME YA KATIBA
Rais Jakaya Kikwete atangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Katiba Ikulu Dar es Salaam mbele ya waandishi ya waandishia wa habari
Rais Jakaya Kikwete akifafanulia jambo waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Katiba
No comments:
Post a Comment