Mashabiki wa Simba wakipuliza Vuvuzela wakati wa mapokezi ya timu hiyo ilipotoka nchini Algeria kucheza mchezo wa Shirikisho dhidi ya Es Setif na kufanikiwa kitoa na kusonga mbele
Kocha Mkuu Milovan akipungua mkono baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam
Okwi mfungaji wa bao muhimu lililoivusha Simba akiwa amezongwa na mashabiki wa timu hiyo muda mfupi baada ya katika Uwanja wa Ndege wa Juluis Nyerere Dar es Salaam
Wachezaji wa timu ya Simba wakiwa ndani ya gari baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam,
Vijana hawa wakiwa wameshindwa kuendesha baiskeli zao mpaka wawaone wachezaji wa Simba
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe aanza kuhudhuria vikao vya Bunge
Naibu Waziri, Dk Harrison Mwakyembe, akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma jana yaliyokuwa yameelekezwa Ofisni kwake
No comments:
Post a Comment