MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, May 22, 2012

Jk amuapisha Mwandosya Ikulu

 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Profesa Mark Mwandosya kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiyekuwa na Wizara maalum Ikulu Dar es Salaam jana
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Katiba ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiyekuwa na Wizara maalum, Mark Mwandosya

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiyekuwa na Wizara maalum, Mark Mwandosya muda mfupi baada ya kumuapisha Ikulu Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment