MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, May 7, 2012

Rais Jakaya Kikwete awaapisha mawaziri na Naibu MAWAZIRI

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussen Mwinyi akila kiapo
 Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akila kiapo
 Waziri wa Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akila kiapo
 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Christopher Chiza akila kiapo
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki akila kiapo
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akila kiapo
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangala akila kiapo
 Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa akila kiapo
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu akila kiapo
 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angella Kairuki akila kiapo
 Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene akila kiapo
 
Naibu Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akila kiapo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahi jambo na mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM, Sabodo wakati Sherehe ya kuwaapisha mawaziri Ikulu Dar es Salaam jana. wengine katika Picha ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sofia Simba aliyesimama na Waziri wa TAMISEMI, Hawa Ghasia

No comments:

Post a Comment