Mratibu wa Mahusiano ya Jamii wa Kampu ya Songas ya kuzalisha Gesi asilia, Nicosdemus Chipakapaka akizungumza wakati wa kukabidhi Taa za Solar 250 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabwepande walioathirika na Mafuriko
Chipakapaka akionyesha Taa ya Solar ikiwa kwenye Boksi
Wanafunzi wakikabidhiwa Taa hizo za Soalr
Wanafunzi wakielekezwa jinsi ya kutumia hizo taa
No comments:
Post a Comment