Mbunge wa
kuteuliwa ambaye ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akila
kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana
Mbunge wa
kuteuliwa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akila kiapo
ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana
Mbunge wa
kuteuliwa James Mbatia (NCCR-Mageuzi) akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma jana
Mbunge wa
kuteuliwa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, Janet Mbene akila kiapo ndani ya
Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana
No comments:
Post a Comment