Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Esther Bulaya akichambua kitabu cha Bajeti wakati akichangia Bungeni jana
Mbunge wa Kisesa (ccm) Luhaga Mpina akichangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2012/13 Bungeni mjini Dodoa jana. Hata hivyo yeye alikataa kuunga mkono Bajeti hiyo akisema kwamba mpaka irekebishwe
Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM) Mwigulu Nchemba akichangia Bajeti ya Serikali
Mbunge wa Mbozi Magharibi (CHADEMA) akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2012/13
Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoa ufafanuzi wa baadhi ya kanuni Bungeni mjini Dodoma jana wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2012/13
No comments:
Post a Comment