MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, July 8, 2012

Mpambano kati ya Wema Sepetu naJacklen Wolpe

Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana

Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao
Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
WEMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA freemason
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio
Bondia Alphonce Mchumia Tumbo akipambana na Ramadhani Kido wakati wa mpambano wao mchumia Tumbo alishinda kwa K,O ya raundi ya Pil
Mpambano ukiendelea kwa kutupiana makonde

Mchumia tumbo akioneshwa kuwa yeye ni mshindi wa mpambano huo

Bondia wa Zimbabwe akipewa mawaiza na wasaidizi wake wakati wa mpambano wake

No comments:

Post a Comment