![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012 |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012 |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012 |
No comments:
Post a Comment